FURAHINI'S SEND_OFF PARTY

Host: Ms. Furahini. BALLROOM: Delux Hall - Sinza.
DATE: Thu July 08, 2010.
WISHING you best of luck!
For wedding photography, MC & Video Shooting, contact:
(+255 713 839363, +255 715 307081 - email: amsalawi@yahoo.com)

7 comments:

 1. Furahini ulikuwa na furaha kama jina lako, na Mungu wa mbinguni akuzidishie furaha na amani tele katika maisha mapya unayoenda kuyaanza,Lizy

  ReplyDelete
 2. hongera Furahini,ulipendeza sana.nakutakia maisha mema katika ndoa yako.

  ReplyDelete
 3. hongera sana mpendwa ulipendeza sana kuliko nilivyozoea kukuona, mungu aambatane nawe katika maisha yako mapya ya ndoa unayoenda kuyaanza. Bwana akuongoze kwa imani na kwa kumwamini kuwa yeye ni bwana na mwokozi wa maisha yetu. elizabeth

  ReplyDelete
 4. hongera Bi harusi, ulipendeza sana jamani, nimependa nguo yako, namuona wajina wangu violet nae, shost ulipendeza kweli, mmechaguana mmefanana, raha kweli, full matabasamu, karibu kwenye Club ya ndoa mrembo, mungu awe msimamiz wa maisha yako
  violet

  ReplyDelete
 5. jamani umependeza sana na ningepebda kujua nani alipamba kwenye ukumbi huo ninaharusi mwezi wa kumi ningependa kujua please mimi ni bi harusi mtarajiwa

  ReplyDelete
 6. mmependeza sana sana pia na uzuri unachangia, mie namsifu Mungu kwanza kwa uumbaji alafu pia kwa kufanikisha sherehe yako. Ama hakika ulikuwa umwenye furaha. Mie mshono(fundi) na mpambaji wa ukumbi please!!!
  Hongera sana!!

  ReplyDelete
 7. jaman wajina umependeza sana

  ReplyDelete

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...