HARUSI YA JOAN NA ELLY!

COUPLE: Elly & Joan CHURCH: CDA Mwenge. BALLROOM: Mararatha Hall. DATE: Sat, May 2, 2010. Video: Gia Productions.
WISHING the couple best of luck!
For wedding photography contact:
(+255 713 839363 - email: amsalawi@yahoo.com)


18 comments:

 1. Good couple!

  Wamependeza lakini hizo makeup za bibi harusi sijapenda, anaonekena kama mzee

  ReplyDelete
 2. Cecy Mwalingo said..............

  Waooo!

  Wamependeza sanaa, hongera shostito kwa kuingia club ya ndoa nipo nyuma yako ninafuata mamaa

  ReplyDelete
 3. Waoo good couple!

  Nilikuwa mmoja wa wageni waalikwa kwenye reception, ilikuwa nzuri sanaaa! hongera bibie nakutakia maisha mema ya ndoa Joan

  ReplyDelete
 4. JOAN DADA POLE KWAQ MSIBA WA BABA YAKO
  JAMANI BI HARUSI KAFIWA NA BABA YAKE TAREHE 2 HARUSI TAREHE 10 BABA YAKE AMEFARIKI POLE MPENZI
  M/MUMGU AMUWEKE MAHALI PEMA MPENZI BABA YETU AMINA.

  ReplyDelete
 5. kusema ukweli bila unafki
  bibi harusi hajapendeza kabisa, anaonekana kama bibi vile, tatizo makeup walizompambia ni za ajabu ajabu sana, hana cheni, heleni, lipstik, kawanja kidogo, hiyo style ya nywele pia haikumpendeza, pia uso wake ni mafuta, wangempaka hata foundation kidogo tu jamani, ah! hapana kusema ukweli haijakaa sawa hiyo
  all in all muishi kwa amani

  ReplyDelete
 6. cecylia said............

  We wa hapo juu baba wa Joan alifariki tarehe 11/05/2010 na ci tarehe 10, theN na huyo aneyesema bi harusi hana cheni hebu angalia vizuri harusi ilifungwa wapi , maharusi ni wasabato hawaruhusiwi kuvaa hivyo vitu, na kuhusu makeup ukumbi ulikuwa hauna ac ndio maana alisweti, alipendeza kwani nilikuwa mmoja wa wageni waalikwa!

  Pole shost kwa kufiwa na baba mzazi, wewe ndio mkubwa katika familia, mtunze mama na wagodo zako, vilevile kumbuka ujumbe aliokuachia marehemu pindi ulipoongea nae kwenye simu kabla ya kifo chake.

  Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi! Amen

  ReplyDelete
 7. BI NA BWANA HARUSI NI WASABATO. MSABATO ANAENDA SALOON SIKU YAHARUSI, NA BIBI KAKUZALIA SHANGAZI YAKO, SEMA LINGINE USIMWAMBIE MTOTO WA MWENZIO YUPO KAMA BIBI

  ReplyDelete
 8. Jamani maharusi ni wasabato so hawaruhusiwi kuvaa hizo accessories, pia baba wa joan alifariki tarehe 11/05/2010 na cio tarehe 10

  ReplyDelete
 9. Jaman ndoa ilifungwa kanisa la wasabato, kwa hiyo bi harusi harusiwi kuvaa accessories zozote.

  Vilevile Baba wa Joan alifariki hospitali ya Temeke hospitali tarehe 11/5/2010 na sio tarehe 10/5/2010.

  Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.Ameni

  ReplyDelete
 10. du si mchezo maana naona malumbano yamezidi kama ayavaa heleni kavaa mkufu sasa mwezenu kachaolewa kazi kwenu nanyie kafungeni za kwenu mnazo vaa kila kitu tuone kama mtapendeza kama yeye

  ReplyDelete
 11. kusema ukweli b.harusi hakupendeza.ht km hawavai madude km wengne,2meshaona ndoa za kisabato jamani,huyu HAKUPENDEZA!ukumbi kutokuwa na ac c tatzo,ishu ni huko walikompambia!kwakuwa ngoz yake ya mafuta,wangempaka foundation kdg ifiche mafuta!kw7b b.harus ni MZURI NA ANA NGOZ NZURI,ila mek up yake MBAYA imemuharibia pcha.ndo maana HAKUPENDEZA HT KDG.

  ReplyDelete
 12. nice blog and good information

  ReplyDelete
 13. This comment has been removed by a blog administrator.

  ReplyDelete

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...