SHAKA NA FLORA WALIVYOFUNIKA!

COUPLE: Shakanyi & Flora CHURCH: St. Martha Roman Catholic Church- Mikocheni. BALLROOM: Delux Hall. DATE: Sat, May 8, 2010. MC: Clay Mushi. Video: Gia Productions.
WISHING the couple best of luck!
For wedding photography contact:
(+255 713 839363 - email: amsalawi@yahoo.com)

8 comments:

 1. he shost ndio wewe tunae kufahamu kutoka bombi ii nyumbi iii yaani songea kweli umetoka sasa tunahisi mabusu sio yaukweli kwani siunajua expression lazima ziendane kunapicha moja mtu katoa kitako inaonekana ilikuwa meyenu kwenda mbele ila tunakupenda na hongera sana karibu kiumeni

  ReplyDelete
 2. jamani flora school mate umependeza saaana kidogo nikusahau,am happy for you

  ReplyDelete
 3. wangu umefunika kupita, i wish nitafanya kama ya kwako, wote mmetoka poa, mh! wa bombii na haro chaha tunawakaribisha ndoani

  ReplyDelete
 4. Mmmh sijapenda hiyo rangi jamani to much kushine! maharusi mmependeza

  ReplyDelete
 5. Shaka funika bovu mwana...hongera sana mkuu!

  ReplyDelete
 6. Shaka hongera sana kwa kufungandoa na kuachana na ukapera, bado Makoro tunasubiri harusi yake, sasa mkuu naomba unipatie contact yako au Makoro ilituweze kuwasiliana, ni muda mrefu sana hatujaonana toka enzi za Tosa (i.e 2000 up to now) kiukweli ni muda mrefu sana, Address zenu ni muhimu itawasaidia hata watu wengine mliokua nao karibu kuwasiliana. from Hussein Y. Mganga(former PCB2 tosa)email yangu:hymganga@hotmail.com

  ReplyDelete
 7. u look so sweet.kweli mmefunika

  ReplyDelete
 8. Its a nice pictures

  ReplyDelete

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...