Harusi ya John Focus na Bi. Bernadetha Munishi ilivyofana


Bwana harusi, John Focus Lyimo akimlisha ndafu mkewe kwenye hafla ya harusi yao iliyofanyika Ukumbi wa 'Mwenge Social Hall' jana jijini Dar es Salaam. Harusi yao ilifungwa katika Kanisa Katoliki la Mt. Rita wa Kashia, Kimara Temboni kabla ya hafla hiyo.

Bi. Harusi Bernadetha Francis Munishi (kulia) akimlisha keki mumewe John Focus Lyimo kwenye hafla kabambe ya harusi yao iliyofanyika Ukumbi wa 'Mwenge Social Hall' jana jijini Dar es Salaam. Harusi yao

LAILA & WASIA MAYA'S WEDDING RECEPTION IN U.S.A


                                         Newly Wed Mr. Wasia akiwa na Mkewe Bi. Laila na kijana wao Zion

Usiku wa kuamkia mwaka mpya wa 2017 Bw. Wasia na Bi. Laila walifanya RECEPTION ya Harusi yao kwenye Ukumbi wa Taj Hall ulioko Savoy Drive jijini Houston, TX. Pata picha zaidi  hapa chini.


Bw. Wasia Maya na Bi. Laila Martin

Lovely couple 
PRE- WEDDING PHOTO SHOOT STYLES!


DIFFERENT DECOR STYLES


SUNSET_ IMPALA HALL - MBEZI BEACH DAR ES SALAAM


 


IMPALA HALL - MBEZI BEACH , DAR ES SALAAM
FOR BOOKING CONTACTS: +255 718 776 262 OR  +255 759 674 457

SUN SET_ FLAMINGO HALL - MBEZI BEACH DAR ES SALAAM


 

FLAMINGO HALL - MBEZI BEACH , DAR ES SALAAM
FOR BOOKING CONTACTS: +255 718 776 262 OR  +255 759 674 457
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...