BRIGHT'S SEND OFF PARTY


Host: Ms. Bright. BALLROOM: Banora - Mwenge. Employer: Platinum Credit DATE: WED July 14, 2010. WISHING you best of luck!
For wedding photography, MC & Video Shooting, contact:
(+255 713 839363, +255 715 307081 - email: amsalawi@yahoo.com)


15 comments:

 1. Mashallah my dia.. Ulipendedha thi mchedho...
  Maisha mema mamii ya ndoa...
  Mama Vanetha..

  ReplyDelete
 2. Hi lovely, umetoka chicha mama angu, nawatakia maisha mema ya ndoa huo ni mwanzo, ila haka kamchezo cha kupigana mapusu kabla ya ndoa muwe mnakaachaga.
  Ndimi Sally (mdau wa blog hii)

  ReplyDelete
 3. Msalimie alilia Kwayu

  ReplyDelete
 4. Bright uliwaka ile mbaya... Uyo mkaka mwambie akutunze haswa asituchezee kabisaa tumempa kitu cha nguvu.. ....Yani perfect Muaaah!
  Mama Davina

  ReplyDelete
 5. jamani waha acheni tabia ya kuwapiga wakezenu au acheni mfumo dume

  ReplyDelete
 6. mumy umependeza sana , na nimependdda rangi ya nduoo yako haswa ma mshono wenyewe, kwakweli umeumbika vzr so umependeza sana, mtindo wa nywele uliouchagua pia mwaaaa!!!
  good luck, krb kwenye kambi,

  Mama Charity,
  Arusha

  ReplyDelete
 7. UMEPNDEZA SANA NDUGU YANGU NAKUTAKIA KILA LA KHERI NI MIMI MRS ROBERT MALALE AU MAMA COLLINS (RITA)

  ReplyDelete
 8. Bright,

  This is wonderful!

  Conglatulations!

  ReplyDelete
 9. jamani umependeza ni balaa na ulivyo mzuri sasa daaa,hongera sana.

  ReplyDelete
 10. umependedha kwa kweli

  ReplyDelete
 11. Terima kasih untuk berbagi dalam artikel ini , semoga bermanfaat dan anda sukses selalu.

  ReplyDelete
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...