tag:blogger.com,1999:blog-5649504098046307534.post6621792441082501720..comments2023-10-12T04:03:36.728-07:00Comments on MRISHO PHOTOGRAPHY_2015: FURAHINI'S SEND_OFF PARTYabbyhttp://www.blogger.com/profile/05818949820978745563noreply@blogger.comBlogger7125tag:blogger.com,1999:blog-5649504098046307534.post-65389827083666046032011-01-19T01:39:30.273-08:002011-01-19T01:39:30.273-08:00jaman wajina umependeza sanajaman wajina umependeza sanaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5649504098046307534.post-31071265042597611802010-08-07T05:53:25.309-07:002010-08-07T05:53:25.309-07:00mmependeza sana sana pia na uzuri unachangia, mie ...mmependeza sana sana pia na uzuri unachangia, mie namsifu Mungu kwanza kwa uumbaji alafu pia kwa kufanikisha sherehe yako. Ama hakika ulikuwa umwenye furaha. Mie mshono(fundi) na mpambaji wa ukumbi please!!!<br />Hongera sana!!Sianoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5649504098046307534.post-67984998646751736782010-07-21T07:49:31.027-07:002010-07-21T07:49:31.027-07:00jamani umependeza sana na ningepebda kujua nani al...jamani umependeza sana na ningepebda kujua nani alipamba kwenye ukumbi huo ninaharusi mwezi wa kumi ningependa kujua please mimi ni bi harusi mtarajiwaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5649504098046307534.post-72025352747803286822010-07-21T00:46:01.995-07:002010-07-21T00:46:01.995-07:00hongera Bi harusi, ulipendeza sana jamani, nimepen...hongera Bi harusi, ulipendeza sana jamani, nimependa nguo yako, namuona wajina wangu violet nae, shost ulipendeza kweli, mmechaguana mmefanana, raha kweli, full matabasamu, karibu kwenye Club ya ndoa mrembo, mungu awe msimamiz wa maisha yako<br />violetAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5649504098046307534.post-44952581102406710892010-07-20T23:14:29.667-07:002010-07-20T23:14:29.667-07:00hongera sana mpendwa ulipendeza sana kuliko nilivy...hongera sana mpendwa ulipendeza sana kuliko nilivyozoea kukuona, mungu aambatane nawe katika maisha yako mapya ya ndoa unayoenda kuyaanza. Bwana akuongoze kwa imani na kwa kumwamini kuwa yeye ni bwana na mwokozi wa maisha yetu. elizabethAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5649504098046307534.post-56719121242345533172010-07-19T00:03:46.644-07:002010-07-19T00:03:46.644-07:00hongera Furahini,ulipendeza sana.nakutakia maisha...hongera Furahini,ulipendeza sana.nakutakia maisha mema katika ndoa yako.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5649504098046307534.post-44254683585943276482010-07-16T05:29:44.781-07:002010-07-16T05:29:44.781-07:00Furahini ulikuwa na furaha kama jina lako, na Mung...Furahini ulikuwa na furaha kama jina lako, na Mungu wa mbinguni akuzidishie furaha na amani tele katika maisha mapya unayoenda kuyaanza,LizyAnonymousnoreply@blogger.com