SLIDESHOW

Saturday, February 28, 2009

SEND-OFF PARTY YA LEVINA

Ni Ijumaa, Februari 20, 2009 Levina anaagwa rasmi kwenye Send-Off Party iliyofanyika pale Golden Resort Hall, Sinza jijini Dar es salaam. All The Best Ms. Levina
...wakiingia ukumbuni kwa kashda zote
..the colour of love
...mambo ya shampeni
...wasaa wa kukata keki
..kula mume wangu mtarajiwa

Sunday, February 22, 2009

HARUSI YA DAVIDSON NA VIVIAN

Valentine's Day, Feb 14 2009 ndiyo siku David na Vivian waliamua kuvishana pete za ndoa pale Azania Front Church jijini Dar es salaam na kufanya tafrija moja matata sana kule Msasani kwenye ukumbi wa The Stallion, jijini Dar es salaam. Kila la Kheri, Mr & Mrs Davidson Kiwia!
..mara baada ya kula kiapo cha ndoa
..mpambe wake waliendana
...maalum kwa maharusi

..ndani ya The Stallion
..ni ishara ya upendo
...'na kwa pete hii, ninakuomba, ulitunze penzi letu'...

***************************************************************
Next Time you have a wedding too, just call us: Mrisho's Photography - +255 713 839363 or drop an e-mail: abbymrisho@gmail.com

HARUSI YA CHRISTIAN & GENOVEFA

Bw. Christian amefunga pingu za maisha na Genofefa Februari 7, 2009 katika kanisa St. Gasper Mbezi jijini Dar es salaa na sherehe za kukata na shoka zilifanyika katika ukumbi wa Rainbow uliyoko Mbezi Beach. We wish you a happy married life
..mambo ya shampeni

...ni furaha tu
...nishike mkono tukate keki
..keki yao ilivyokuwa
Images: Mrisho's Photography