HARUSI YA CHRISTIAN & GENOVEFA

Bw. Christian amefunga pingu za maisha na Genofefa Februari 7, 2009 katika kanisa St. Gasper Mbezi jijini Dar es salaa na sherehe za kukata na shoka zilifanyika katika ukumbi wa Rainbow uliyoko Mbezi Beach. We wish you a happy married life
..mambo ya shampeni

...ni furaha tu
...nishike mkono tukate keki
..keki yao ilivyokuwa
Images: Mrisho's Photography

3 comments:

  1. MLIPENDEZA SANA,MUNGU AWAJALIE UPENDO NA AMANI.epejullu@gmail.com

    ReplyDelete
  2. Dada umependeza sana lakini mumeo mhhhhhhhhhh!!!!

    ReplyDelete
  3. hongera sana geno,its Monica Gerald ur class mate,weru weru sec.

    ReplyDelete

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...