HARUSI YA BARAKA & UPENDO

COUPLE: Baraka & Upendo CHURCH: Azania Front BALLROOM: Kiramuu Hall. MC, Music & Video: Clay Mushi. WISHING THE COUPLE A HAPPY MARRIAGE.
(For wedding photography contact: (+255 713 839363)
Bwana Baraka ni mfanyakazi wa kampuni ya Mufindi Paper ofisi ya Dar es salaam na mkewe na mjasiriamali.


MC Mushi ndiye alikuwa mwendesha shughuli hiyo iliyofanyika kaitika ukumbi wa kisasa wa Kiramuu uliyopo Mbezi High School, jijini Dar es salaam.

1 comment:

  1. jaman mbona walimnanga uyo mtoto waamzeesha mtoto anaonekana mkubwa na ilo li wiving

    ReplyDelete

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...