HARUSI YA AARON & EMMA

COUPLE: AARON & EMMA CHURCH: MSASANI LUTHERAN BALLROOM: NEW MSASANI CLUB. MC, VIDEO & MUSIC: CLAY MUSHI. DATE: SAT OCT 24, 2009. WISHING THE COUPLE A HAPPY MARRIAGE.
(For Weding Photography contact: (+255) 0713 839363)

Aaron ni mfanyakazi wa kampuni ya Elite Computers ya Upanga jijini Dar es salaam, ambao ni wauzaji na wasambazaji pekee nchini wa kompyuta aina ya Macintosh. Mkewe ni mfanyakazi wa Hospitali ya Taifa-Muhimbili.

..champagne time

Mc Mushi (kulia) akibadilishana mawazo na baba wa bibi Harusi, wakati wa sherehe iliyofanyika katika ukumbi wa New Msasani Club jijini Dar es salaam, Jumamosi, Oktoba 24, 2009.

3 comments:

 1. maharusi hongereni na mmependeza

  V-dublin

  ReplyDelete
 2. MMEPENDEZA SAAAAAAAAAAANA,HONGERA EMMA,HEEE MWANYA HUO!!!!!!!!!!!!

  E.

  ReplyDelete
 3. Emma na Aaron Hongereni sana mungu awabariki katika maisha yenu ya ndoa

  rafiki yenu

  ReplyDelete

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...