BLOG YENU YAPATA TUZO


Napenda kuwafahamisha wapenzi na wasomaji wa Blog ya Harusini kuwa Blog yenu imepewa tuzo ya Blog Bora ya Picha (za harusi) iliyotolewa na waandaaji Tanzania Blog Award. Shukrani ziwafikie nyie wasomaji kwa kuifanya Blog hii kuwa namba moja.

1 comment:

  1. Hongera sana bro, watoa tuzo wapo sahihi kabisa, kiufupi wameitendea haki blog, mi naipenda sana kwakweli, ongeza juhudi ktk kutupa burudani bro, wengine tukiona picha za harusi tunaburudikaaaaaaaaa, hasa zikiwa na kiwango. HONGERA SANA

    ReplyDelete

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...