MESHAK & ELINE WEDDING!

Couple: Meshak & Eline CHURCH: Mbezi Beach Lutheran -DSM BALLROOM:Cassa Complex - Mikocheni. Groom's Employer: Azania Bank Ltd. DATE: SAT Sept 11, 2010.
WISHING Couple the best of luck!
For wedding photography, MC & Video Shooting, contact:
(+255 713 839363, +255 715 307081 - email: amsalawi@yahoo.com)7 comments:

 1. jamani mmependeza sana hadi raha nimewapenda ile mbaya. hongereni sana mungu awasaidie muishi kwa amani na upendo katika ndoa yenu.

  ReplyDelete
 2. harusi imependeza sana maharusi pia vp hii harusi haikuwa na ndafu au umebania picha napenda kutembelea huku nipate idea natarajia kuoa mwezi wa 3 mwakani picha hazina maelezo ila nimependa hiyo picha nadhani ni wazazi wakilishana keki imetulia mzee anaangalia mali zake kwa pooooozi hongereni maharusi Mungu awajalie mzae watoto wazuri kama ninyi

  ReplyDelete
 3. kwa kweli baba na mama mzazi wamependeza yani kama ndo wanaoana wao loh kweli kuishi ndani ya mungu ni raha yani baba anapozi zurii kupita maelezo na mamagu pale katabasamu anasubiri keki kwa hamu loh kweli wamependeza na hata nyie maharusi mnavutia sana mungu awajalie amani, furaha, na Upendo siku zote za unyumba wenu.......

  ReplyDelete
 4. kwa kweli lango na eline mmetoka chicha sana.Mungu awabariki muishi kwa amani na upendo.
  Its me Settlement Account

  ReplyDelete
 5. It was real nice wedding. May God be with u in ur new life.

  Hossy Moshi

  ReplyDelete
 6. great nimependa pozi la baba Meshaki wakati akimlisha mama keki, imetulia sana

  ReplyDelete

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...