hongereni bi harusi na bwana harusi mmependeza sana. Halafu naomba kuuliza mbona mnafanana sana bi harusi na bwana harusi?
hongera sana dada yangu uwe mwaminifu kwa mumeo nawatakia maisha marefu na Mungu awazidishie baraka kaika ndoa yenu Ameeeeeeeeeeeeeeee!
ongeleni sana nataka kujua gauni la bibi harusi mulinunua au mumekodisha
hongereni bi harusi na bwana harusi mmependeza sana. Halafu naomba kuuliza mbona mnafanana sana bi harusi na bwana harusi?
ReplyDeletehongera sana dada yangu uwe mwaminifu kwa mumeo nawatakia maisha marefu na Mungu awazidishie baraka kaika ndoa yenu Ameeeeeeeeeeeeeeee!
ReplyDeleteongeleni sana nataka kujua gauni la bibi harusi mulinunua au mumekodisha
ReplyDelete