Bwana harusi, John Focus Lyimo akimlisha ndafu mkewe kwenye hafla ya harusi yao iliyofanyika Ukumbi wa 'Mwenge Social Hall' jana jijini Dar es Salaam. Harusi yao ilifungwa katika Kanisa Katoliki la Mt. Rita wa Kashia, Kimara Temboni kabla ya hafla hiyo.
Bi. Harusi Bernadetha Francis Munishi (kulia) akimlisha keki mumewe John Focus Lyimo kwenye hafla kabambe ya harusi yao iliyofanyika Ukumbi wa 'Mwenge Social Hall' jana jijini Dar es Salaam. Harusi yao
Newly Wed Mr. Wasia akiwa na Mkewe Bi. Laila na kijana wao Zion
Usiku wa kuamkia mwaka mpya wa 2017 Bw. Wasia na Bi. Laila walifanya RECEPTION ya Harusi yao kwenye Ukumbi wa Taj Hall ulioko Savoy Drive jijini Houston, TX. Pata picha zaidi hapa chini.